LATEST ARTICLES
 
Anp-eJQozfukk29t8OHmEaZlEs340C32FqCusxV_JlOm

Picha: Dj D-Ommy wa Times FM afanya tour Kenya

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 6:58 pm
DJ wa kituo cha Times FM, D-Ommy yupo nchini Kenya alikoenda kujitangaza zaidi. DJ D-Ommy (katikati) akiwa na crew ya Citizen TV akiwemo Willy M Tuva (mwisho kulia) na Fundi Frank (wa pili kulia) Ommy amesema lengo la ziara hiy...

10903650_426931487464924_1518468480_n

Ulikuwa ni mtihani kufanya video na Avril – Ommy Dimpoz (Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 6:29 pm
Kwa mujibu wa Ommy Dimpoz, haikuwa rahisi kufanya video na Avril aliyemshirikisha kwenye wimbo wake ‘Hello Baby’. Ommy ameiambia Bongo5 kuwa Avril ni msichana ambaye si rahisi macho ya mwanaume kamili kushindwa kushawishiwa na ...

Adam Mchovu of Clouds FM on stage to present the award for Best Male Singer of the year

New Video: Adam Mchovu – Tiririka

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 6:10 pm
Video mpya kutoka kwa Adam Mchovu wimbo unaitwa “Tiririka” video imeongozwa na Hanscana Add a comment comments

10895144_1539207049668717_2055576873_n

Vanessa Mdee alilipwa kuonekana kwenye video ya Jux, ajibu tena swali la kama ni kweli ni wapenzi (Exclusive Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:54 pm
Vanessa Mdee hakutokea kwenye video ya ‘Sisikii’ ya Jux bure. Jux alilazimika kumlipa Vee Money gharama za hitmaker huyo wa ‘Hawajui’ kuonekana kwenye video hiyo iliyofanyika nchini China. “Ni kweli alinilipa,” Vane...

Ar_Yj4vesHxn6J9IJ0mdQfNTb7r2M-yeQ3hHyw0xrml8

New Video: Okelo – Okelo wa Show

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:08 pm
Video ya wimbo mpya wa Okelo uitwao ‘Okelo wa Show’ iliyoongozwa na Pablo. Wimbo umetayarishwa na Mona Gangster kwenye studio za Classic Sounds Add a comment comments

10945693_10152967394931001_8126682426113130834_n

Ni kweli Mwana FA na Diamond haziivi kisa Alikiba? FA aueleza ukweli (Exclusive Audio)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 5:00 pm
Weekend hii kwenye show ya uzinduzi wa Tigo Music iliyofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam, kulienea taarifa kutoka kwa mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz kuwa Alikiba aliwazuia Mwana FA na Shaa kusaliamiana na hitmake...

TUDUNDE-ONE-COVER-

New Music: Nonini Ft Didge – Tudunde

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 4:18 pm
Today we release a brand new one from Nonini (MgengeTrue) produced by Beat Ya Keggah and Mixed and Mastered by Musyoka! In this track Nonini has done a follow up of the classic track Genge love which was all about the ladies. T...

Uchukue

New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano – Njoo Uchukue

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 1:41 pm
Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue” Add a comment comments

Amber n Chyna

D’Banj kuwadondosha Amber Rose na Blac Chyna Nigeria weekend hii

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 1:24 pm
Staa wa Nigeria, D’Banj anatarajia kuwadondosha Amber Rose na Black Chyna nchini Nigeria kwenye event yake ‘10th Anniversary Movement’ itakayofanyika weekend hii Jan 31, 2015 jijini Lagos. Amber Rose na Blac Chyna Ex wa rapper ...

r-kelly-hb

Umeiona video mpya ya R.Kelly ‘Happy Birthday? Mashabiki wadai kapotea njia (18+)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 12:09 pm
Miaka 10 iliyopita muziki wa R&B ulikuwa umetawaliwa na Robert Kelly. Nyimbo zake zilikuwa zinaweza kukufanya ulie, upata matumaini au ufurahi kutokana na sauti nzuri na ujumbe wake mahsusi. Miaka ya hivi karibuni mfalme hu...

Chris n Tyga

Chris Brown na Tyga wawashirikisha 50 Cent na T.I kwenye album yao ya pamoja ‘Fan of a Fan’

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 11:55 am
Baada ya kutoa official cover ya album ya ushirikiano wa Chris Brown na rapper Tyga, mastaa hao wametoa orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album hiyo pamoja na wasanii waliowashirikisha. Miongoni mwa nyimbo kumi na sita zit...

IMG_9988 - Copy

Mtangazaji wa Clouds FM Da’Huu asherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutoa msaada Amana

by Yasin Ngituon January 26, 2015 - 11:17 am
Mtangazi wa Clouds FM kupitia kipindi cha Leo Tena, Husna Abdul aka Da’Huu akiambana wa wasanii wa muziki ameshereekea siku yake ya kuzaliwa weekend hii katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa kutoa msaada wa v...

Rais wa Zambia-1

Picha: Sheria Ngowi amvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu wakati wa kuapishwa

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 11:12 am
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amepata nafasi ya kumvalisha suti maalum (Presidential suit) Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe za kuapishwa kuwa Rais mpya wa nchi hiyo zilizofanyika Ju...

COVER-PAGE-1

Wasanii nchini waachia video ya katuni ya wimbo ‘Tokomeza Zero’

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 11:04 am
Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini Tanzania wameachia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele sekta ya elimu. Wi...

Wiista - NAIYE Video

New Video: Wiista – Naiye

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 11:00 am
Tazama video ya wimbo wa rapper Wiista uitwao Naiye. Imeongezwa na Abas Adam. Add a comment comments

Riri new song

New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 10:16 am
Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com. Add a comment comments

rs_560x415-150125200548-1024-usa-miss-colombia-miss-universe.ls.12515

Picha: Miss Colombia atwaa taji la Miss Universe 2014

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 10:02 am
Miss Colombia, Paulina Vega ametwaa taji la Miss Universe 2014 kwenye shindano lililofanyika Jumapili hii nchini Marekani. Miss USA, Nia Sanchez amekuwa mshindi wa pili. Warembo 88 walikuwa wakiwania taji hilo. Add a comment co...

Iyanyaaaaaaaaaa

New Music: Iyanya Ft. Don Jazzy – Gift

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 9:54 am
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Iyanya akimshirikisha Don Jazzy kutoka Nigeria wimbo unaitwa ‘Gift’ studio ya Mavin Records. Add a comment comments